Mama Salma Kikwete Alivyoshiriki Matembezi Kuchangisha Fedha Kwa Afya Ya Mama Na Mtoto - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mama Salma Kikwete Alivyoshiriki Matembezi Kuchangisha Fedha Kwa Afya Ya Mama Na Mtoto

Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (mwenye suruali nyeupe) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Benki ya Barclays nchini Kihara Maina (mwenye suruali ya kadeti) na wafanyakazi wengine wa benko hiyo na washiriki wengine jana walifanya matembezi ya kilometa kumi yaliyoanzia katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuchangisha fedha kusaidia Afya ya Mama na Mtoto.Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages