Mama Asha Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalam wa mambo
ya kisayansi na mambo ya kale wa Chuo Kikuu cha Uppsala, Mikael Norrby,
kuhusu Viumbe vilivyokaushwa na kuhifadhiwa katika Jumba la
makumbusho la Gustavo Adolpho nchini Sweden, wakati Mama Asha
alipotembelea katika Jumba hilo na kujionea mambo mbalimbali ya
kisayansi yaliyomo katika Jumba hilo juzi sept. 26. Miongoni mwa mambo
ya kusisimua ndani ya jumba hilo ni pamoja na mwili wa binadamu
aliyefariki miaka 500 iliyopita ambao umekaushwa na kuhifadhiwa katika
jumba hilo maalu kwa ajili ya mafunzo ya kisayansi pamoja na viungo
mbalimbali vya wanyama na binadamu.
Mama Asha
Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalam wa Chuo cha Uppsala,
Mikael Norrby, kuhusu Mamba aliyekaushwa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)