Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mama
Asha Bilal, Waziri wa Mazingira Huvisa, wakimsikiliza Mkurugenzi wa
Taasisi ya Mazingira ya Stockholm, John Kuylenstierna, wakati wakiwa
katika semina ya kubadilishana uzoefu kati ya taasisi hiyo na Wizara ya
Mazingira iliyo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Semina hiyo ilifanyika
jana septemba 27 katika ofisi za taasisi hizo zilizopo Stockholm nchini
Sweden.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mama
Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa
Taasisi ya Mazingira ya Stockholm, baada ya kumalizika kwa semina ya
kubadilishana uzoefu kati ya taasisi hiyo na Wizara ya Mazingira iliyo
chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais, iliyofanyika jana septemba 27 katika
ofisi za taasisi hizo zilizopo Stockholm nchini Sweden.








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)