Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha ‘Quantum
Mechanics’ kilichotungwa na Professa. John Kondoro, wakati wa hafla hiyo
ya uzinduzi iliyofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo cha
DIT, jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizindua rasmi Kitabu cha ‘Quantum Mechanics’ kilichotungwa na
Professa. John Kondoro, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika
leo Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maprofesa wa DIT baada ya
uzinduzi wa kitabu cha ‘Quantum Mechanics’ kilichotungwa na Prof. John
Kondoro
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wapili kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Charles Kitwanga (wapili kulia) Prof. John Kondoro mtunzi wa kitabu cha ‘Quantum Machenics’ na Makamu Mkuu wa Chuo cha DIT, Prof. Christian Nyahumwa (kushoto) wote kwa pamoja wakifurahia baada ya Makamu kuzindua kitabu hicho, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam leo, Septemba 22
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyesha kitabu cha ‘Quantum Machenics’ baada ya kuzindua kitabu
hicho kilichotungwa na Prof. John Kondoro, wakati wa uzinduzi huo
uliofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbu wa Chuo cha DIT, jijini Dar
es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi kitabu cha ‘Quantum Machenincs’ Makamu wa Chuo cha DIT,
Prof. Christian Nyahumwa, ambao ni miongoni mwa watu wa kwanza kununua
kitabu hicho kilichotungwa na Prof. John Kondoro, wakati wa uzinduzi wa
kitabu hicho uliofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo cha DIT,
jijini Dar es Salaam.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)