Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Watanzania, waishio nchini Sweden wakati alipokutana nao
katika mkutano jana, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gillet Clarion iliyopo
Uppsala Sweden. Kushoto ni kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa Sweden,
Prof. Lodhi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na wenyeji wake baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli
ya Gillet Clarion iliyopo Uppsala Sweden jana, kwa ajili ya kuzungumza
na Watanzania waishio Sweden.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Watanzania, waishio nchini Sweden wakati alipokutana nao
jana Septemba 25, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gillet Clarion iliyopo
Uppsala Sweden. Kuliani ni Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Muhammed
Mwinyi Mzale.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma
Maalim, akiwa pamoja na baadhi ya Watanzania waishio Sweden wakati
Makamu wa Rais Dkt Bilal, alipokutana na kuzungumza nao jana nchini
Sweden.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Mrembo Miss Africa Scandnavia 2010/2011,
Michelle Jeng, baada ya kumalizika kwa mkutano baina yake na Watanzania
waishio nchini Sweden, uliofanyika kwenye Ukumbu wa Hoteli ya Gillet
Clarion, iliyopo Uppsala nchini hapa jana Septemba 25. Katikati ni
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Muhammed Mwinyi Mzale.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Watanzania waishio nchini Sweden, baada ya
kumalizika kwa mkutano.
wakati wa maswali na majibu .......
Watanzania hao wakiuliza maswali....
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha pa kumbukumbu pamoja na baadhi ya watanzania,
waishio nchini Sweden, baada ya kumaliza mazungumzo nao.
Makamu wa Rais akipokea Katiba ya Chama cha Watanzania waishio Sweden kutoka kwa Mjumbe wa Chama hicho.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)