Makamu wa Pili Wa Rais Zanzibar Balozi Seif Idd Apokea Misaada Kutoka Chama Cha CHADEMA na Benki ya CRDB - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu wa Pili Wa Rais Zanzibar Balozi Seif Idd Apokea Misaada Kutoka Chama Cha CHADEMA na Benki ya CRDB

 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea mchango wa Fedha shilingi milioni tano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe, kwa ajili ya Waathirika wa ajali ya Meli iliotokea usiku wa tarehe 9-9-2011 katika bahari ya Nungwi. 
MAKAMU wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akitowa shukrani kwa msaada uliotolewa na Chama cha CHADEMA Tanzania.
MWENYEKITI wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe akitowa rambirambi za Chama chake kwa wahanga wa ajali ya meli alipofika Ofisi ya Mamaku wa Pili wa Rais kutowa rambimrambi jana
MKURUGENZI wa Masoko wa Benki ya CRDB Tanzania Tully Esther Mwambapa akimkabidhi cheki ya shilingi Milioni kumi. Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya waathirika wa janga la ajali ya meli ilioyotokea Nungwi
 MKURUGENZI wa Masoko wa Benki ya CRDB TanzaniaTully Esther Mwambapa akitowa salamu za rambirambi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages