PRESS RELEASE
BEN TELEVISION
25 ASHLEY ROAD
TOTTENHAM
LONDON, N17 9LJ
09/Sept/2011
RE: PRESS RELEASE
RE: BEN TV DIPLOMATIC AWARDS 2011
This to announce that The Tanzania , Uganda and Kenya High
commissions in London have been nominated to receive awards in
the following categories:
· Diaspora growth, development and involvement
· Good customer service at the High commission/embassy
· Positive projection of country’s image abroad
· Economic and Cultural diplomacy
· Country’s Human Development
Other categories to be awarded are:
Diplomat of the year from Africa, Caribbean and Pacific 2011
Diplomat of the Year from the Americas
Deputy Head of mission of the year
Distinguished contribution to diplomacy
The night will recognise and celebrate the diplomatic achievements made
within the African, Caribbean and Pacific regions on the 4th November 2011 at the Hilton park lane Hotel
Which category do you think fits your High commission? Please send your entries, comments and nominations to swahilidiaries@yahoo.co.uk, or newdealafrica@yahoo.co.uk
The BEN TV DIPLOMATIC AWARDS will be adding glamour to Africa’s Golden Jubilee celebrations with:* Top Nollywood stars & the best of African film stars
* UK celebrities and crème de la crème
* Diplomats and professionals
For further information: email swahilidiaries@yahoo.co.uk,new
Signed.
Ayoub mzee
Public/current Affairs Desk
BEN TV SKY 184
TEL + 44 7960811614/+442088088800
Notes
Africa is truly a great nation with great people. We celebrate Africa at 52. We celebrate you and other great people like you as an inspiration to the next generation of leaders.
BEN TV is a Black and ethnic oriented ,urban , diverse and cosmopolitan Family channel ,established to provide a whole some mix of entertainment ,educative and informational programmes suitable for family viewing .It also includes a range of cultured programming to empower ,transform and challenge the conventional perception of Africa, Caribbean and African Diaspora
Ajali Ya Boat Ya Zanzibar
Kama wote tunavyofahamu taifa limepatwa na msiba mkubwa sana kutokana na ajali ya boat iliyotokea huko Zanzibar. Tunaomba Mwenyenzi Mungu awape faraja wale wote waliopoteza ndugu, jamaa au marafiki katika ajali hii na pia tunaomba Mwenyenzi Mungu awaweke mahali pema wale wote waliopoteza maisha yao katika ajali hii. Katika kipindi hiki kigumu tumeweza kuona kwa mara nyingine tena jinsi social medias zilivyo na mchango mkubwa katika jamii zetu. Kwa vile ajali hii ilitokea mwisho wa week blogs zilisaidia sana kutoa habari kwa haraka sana kuhusu ajali hii kuliko hata vyombo vya habari. Watu wengi waliweza kufuatilia na kuelewa mambo mengi kuhusu ajali hii kwa urahisi kuliko kusubiri vyombo vya habari kutangaza au kuchapisha katika magazeti. Mchango wa bloggers ni mkubwa sana katika jamii zetu hasa kama nchi yetu ambazo hazina centralized alert system. Tunawashukuru sana wale wote waliojitahidi kutupatia updates za habari hii kila mara..
Campaign Ya Kupunguza Ajali Nchini
Kuna watu wameniandikia na kuniuliza ni nini kinaweza kufanyika ili tuanzishe campaign ya kuwapa watu awareness ya kusaidia kupunguza ajali Tanzania? NImefurahishwa na moyo wa watu hawa kwa vile baadhi yao sio watanzania lakini wameweza kufuatilia habari za ajalii hii na kugundua kuwa ajali ni tatizo sugu nchini Tanzania. Bado nina brainstorming vitu ambavyo vinaweza kuanzishwa katika campain hii lakini kama kuna watu wana ideas please naomba mzitume ili tuangalie ni zipi zitaweza kufanyika na kuwafikia watu wengi na kwa budget gani. Ili tuangalie jinsi tutakavyoanza kufanya fundraising ya kusupport campain hiyo. Tukumbuke leo kwa mwenzio kesho kwako. Hizi ajali hazichagui jinsia, umri, kisomo wala kipato. Zinakuja kutoka kila pande. Tusipojisaidia wenyewe nani atakuja kutusaidia?Campain itahusika na:-
1. Kuhamasisha madereva kujifunza sheria za barabarani
2. Kuhamasisha madereva kupima macho mara kwa mara.
3. Kuhamasisha watu wawe responsible kwa maisha yako eg don't drink and drive, follow the speed limit, wear seat belt, wear a helmet etc.
4. Kuhamasisha watu kwa wale wanaotumia public transportation kufuata sheria za usalama.
Kama mtu ana idea yeyote basi msisiste kututumia.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)