HIVI NDIVYO NDEGE
ILIVYO UMIA BAADA YA KUANGUKA ENEO LA NANE NANE UYOLE MBEYA
ABIRIA WA NDEGE
WAKIWA NA FURAHA MALA BAADA YA KUPONA KATIKA AJALI HIYO ILIYO TOKEA LEO
ASUBUHI NANE NANE UYOLE MKOANI MBEYA
NDEGE INAVYO ONEKANA
BAADA YA KUPATA AJALI
PAIROTI WA NDEGE
NAMBA 9J-BIO SESINA 206 AKIPATA
HUDUMA YA KWANZA PAMOJA NA ABIRIA WENGINE WALIO KUWEMO KATIKA AJALI HIYO
BAADHI
YA WATU WALIO FIKA ENEO HILO LA TUKIO KUTOA MSAADA BAADA YA AJALI HIYO
MMOJA YA ABIRIA ALIYEKUWEMO KATIKA NDEGE HIYO AKITOA MAELEZO
MACHACHE JUU YA AJALI HIYO
ENEO LA MBELE
== == = = = == == =
HABARI KAMILI
Ajali ya ndege namba 9J-BIO SESINA 206,
imetokea leo asubuhi majira ya saa tatu eneo la Nanenane Uyole jijini
Mbeya na abiria wanne wanusurika kifo na hakuna aliyefariki.
Abiria walionusurika
kifo ni pamoja JVER WAAK Umri wa Miaka 49 ambayealikuwa Rubani, Raia wa
Afrika Kusini, Bwana CHRISTIAN BASIL MMASI umri miaka 30, Ambaye ni
Afisa Utawala wa mashamba ya Kapunga wilaya ya Mbarali, Balozi MOHAMMED
RAMIA kabula leke ni Mmakua mwenye umri wa miaka 64, mkazi wa Masaki
jijini Dar es Salaam ambaye ni mfanyakazi EXPORT TRADING na Bwana SUNNY
TAYIR mwenye umri wa miaka 50 ambaye ni Mhindi na ni mfanyakazi wa
EXPORT TRADING.
Na chanzo cha ajali hiyo akijafahamiaka mpaka sasa.
Imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Bwana ANACLET MALIMBISA
Na chanzo cha ajali hiyo akijafahamiaka mpaka sasa.
Imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Bwana ANACLET MALIMBISA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)