Kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini..... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini.....

Kaimu mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Dkt. Agnes Kijazi akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari na wadau mbalimbali kuhusu mwelekeo wa mvua za vuli za mwezi Oktoba – Desemba 2011 leo jijini Dar es Salaam ambapo amesema maeneo mengi ya nchi yatapata mvua za wastani na juu ya wastani na kutoa tahadhari kwa wafugaji, wakulima, sekta ya afya na mamlaka za miji nchini kuzibua mitaro ili kuepusha madhara yanayoweza kusababishwa na mvua hizo.
Waandishi wa habari na wadau mbalimbali wakifuatilia taarifa ya mwelekeo wa Hali ya hewa iliyotolewa na Kaimu mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Dkt. Agnes Kijazi(hayupo pichani) leo jijini Dare Salaam.Picha na Aron Msigwa - MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages