Hii ni moja ya
Shule ya msingi Bukoba - Kagera
'HIZO ZOTE NDIO
KAULI ZA WANASIASA'
Wanasiasa watatujia
kwa kauli nyingi sana, lakini mwisho wa siku watoto wetu tunaishia kuwapa elimu
kwenye mazingira kama haya! ebu muangalie huyo aliye karibu na Mfuko wa plastic,
yupo darasani kweli!!! nini anachowaza! Mimi na wewe tutabaki tunahisi tu: Labda
hajanywa chai! au anaumwa! La hasha! mazingira hayo yanampelekea kutomsikiliza
mwalimu.
KAPINGAZ Blog
inakwambia "TAFADHALI CHUKUA HATUA, TUWAWEZESHE WATOTO WETU WAPATE ELIMU
BORA"
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)