EXTRA BONGO YAFUNIKA JIJINI MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

EXTRA BONGO YAFUNIKA JIJINI MWANZA

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akitoa shoo wakati wa tamasha la kukaribisha maadhimisho ya mika 50 ya Uhuru Nchini yaliyofanyika Viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza kupitia kinywaji cha Bia ya Kilimanjaro
Banza Stone akiimba wakati wa tamasha hilo
Wacheza shoo wakicheza wakati wa tamasha hilo
Mcheza shoo, Mwantum akionyesha umahili wake
Mwimbaji wa Bendi hiyo,Bob Kissa akicheza.Picha Na Machellah Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages