Wahitimu wa elimu ya
msingi katika shule ya Msingi Kambarage iliyopo jijini Mbeya wakifurahia
na kushangialia baada ya kumaliza kufanya mtihani wa darasa la saba
ambao umemalizika na kuwapa fursa ya kusubiria Sherehe rasmi ya Kuangwa
itakayofanyika wakati wowote kuanzia sasa. Wanafunzi wengi wameshangilia
na kujawa furaha kubwa, Je? furaha hii inaweza rudiwa tena wakati wa
matokeo kutangazwa au wengine wameshiriki tukio hili kwa kuiga mkumbo
tu, kwa sababu wengine watabaki mtaani wakisota.
Zoezi la ufungaji
Mitihani likiendelea, ambapo sasa wanafunzi hao wanafikishwa kwa Pilato
kupitia kile walichokifanya, ba kutolewa uamuzi kuwa ni nani na yupi
anafaa kuendelea na masomo ya kidato cha Kwanza.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)