DAKIKA YA 6O KIPINDI CHA PILI MAN U 3 CHELSEA 1 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DAKIKA YA 6O KIPINDI CHA PILI MAN U 3 CHELSEA 1

Kinda la Man U C.Smalling Ndiye aliyeanza kuziona nyaqvu za Chelsea Kwa kuipatia Goli la Kwanza Dhidi ya Chelsea.
Mchezaji Wa Man U Nani alipoipatia Timu yake Goli La Pili Dhidi ya Chelsea
Rooney Ndiye alihitimisha Goli la Tatu hadi kipindi cha Kwanza Kinaisha Man U wanaongoza Kwa Magoli 3 bila.
Ndani Ya Kipindi Cha Kwanza Man U waliweza kuona Nyavu ya Chelsea Mara tatu huku  Chelsea Wakiwa hawajapa kitu mpaka mpira unakwenda mapuziko.

Ndani ya Dakika ya 46 ya kipindi cha Pili F.Torres ameweza kuipatia timu yake ya Chelsea Bao la kifuta machozi kwa dakika hizi 57 zilizokatika. Katika Dakika ya 49 na 56 wachezaji Ramires na J.Terry wameweza kuzawadia kadi ya Njano.Mpaka Dakika Ya 57 manchester united inaongoza kwa magoli 3 na Chelsea ikiwa na Moja na Mpira Bado unaendelea

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages