Waziri Prof.Jumanne Maghembe Ashiriki Uzinduzi Wa Mpango Wa Lishe Kwa Watoto - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Prof.Jumanne Maghembe Ashiriki Uzinduzi Wa Mpango Wa Lishe Kwa Watoto


Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika,Prof.Jumanne Maghembe, akifafanua jambo jana mchana wakati wa uzinduzi wa mpango maalumu wa ushirikiano wa lishe kwa  watoto (PANITA)  uliozinduliwa katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Pro. Jumanne Maghembe, akiweka saini ya dole Gumba  ikiwa ni ishara ya kukuukubali mpango maalumu wa ushirikiano wa lishe kwa watoto (PANITA)  uliozinduliwa katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam.
Balozi wa PANITA,Msanini wa nyimbo za mashairi, Mrisho Mpoto, akiweka saini ya dole Gumba Gumba  ikiwa ni ishara ya kukuukubali mpango maalumu wa ushirikiano wa lishe kwa watoto (PANITA)  uliozinduliwa katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam jana mchana
Wadau  waliohudhuria uzinduzi huo jana mchana. Picha zote na Victor Makinda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages