Mhandisi
wa Kampuni ya Umwagiliaji ya Jain,Viquar Khan (aliyechuchumaa)
akielezea jinsi umwagiliaji unavyofanyika wakati Rais Jakaya Kikwete(wa
pili kushoto)alipotembelea banda la kampuni hiyo muda mfupi baada ya
uzinduzi wa maonesho ya Kilimo ya Nane Nane, katika eneo la Nzuguni,
Dodoma mapema wiki hii. Kushoto ni Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,
Profesa Jumanne Maghembe na wa pili kulia ni mwakilishi wa Jain
nchini,Rupa Sichak.Picha na Freddy Maro-IKULU
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)