Kamera Yangu Iliwakamata Jamaa Zangu Tokea Mbali wakiwa Wanasubiri Usafiri Wa Kuelekea Dodoma Mjini
Vijana wenyewe Hawa hapa Wakiikodolea Macho Kamera ya LUKAZA BLOG katika Kituo Cha daladala Za Kuelekea Mjini
Nilipowanasa Wakiwa Bize wakijadili Juu Ya Maswala Ya Mitihani Pamoja na Kufunga Chuo aaaahhhhh.....





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)