Mwenyekiti wa kamati ya mkesha mkubwa wa Kitaiafa, Askofu, Godfley Mallassy, akizungumza na waandishi wa habari jana mchana,Idara ya Habari na Maelezo jijini Dar es Salaam, kuhusu mkesha mkubwa wa kongamano la wanawake kuiombea amani Tanzania utakaofanyika Jumamosi ya wiki hii jijini Dar es Salaam. Katika mkesha huo wanawake wa viongozi mbali mbali wa Kitaifa watashiriki. Kulia ni Mratibu wa Kongamano hilo, mchungaji Debora Malaassy na kushoto ni makamu mwenyekiti wa kongamano, Askofu Keneth Damas. Picha na Victor Makinda
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)