Warembo
wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzanzia 2011, wakimsikiliza
Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando akiwapa maelezo
mbalimbali kuhusiana na mitambo ya kurushia mawasiliano ya simu ya
kampuni hiyo iliyopo mjini Arusha wakati warembo hao walipotembelea
kituo hicho jana. Warembo hao wapo katika ziara ya kimafunzo na
kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani Kanda ya
Kaskazini.
Mkurugenzi Wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Akiendelea Kuwaelekeza walimbwende hao jinsi mitambo ya simu ya vodacom inavyofanya kazi na ndio Maana Simu za Vodacom Hazina Kwikwi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)