Hapa wakipima moja ya mavazi ambayo watayatumia katika shindano la Vodacom Miss Tanzania litakalofanyika Sptemba 10/2011.
Warembo
wanaoishiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiingia katika
ufukwe wa Jangwani See Breez ambako leo kunafanyika tamasha la michezo
la Vodacom Miss Tanzania Sports Day, ambapo watashiriki kucheza michezo
mbalimbali ikiwa ni pamoja na Kuvuta Kamba, Kukimbia na Magunia, Kuchezo
Soka, Kucheza mpira wa Pete na Mpira wa wavu.
Shindano la Vodacom Miss Tanzania linatarajiwa kufanyika Septemba
10/2011 kwenye ukumbi wa Malimani City Jijini Dare es salaam Tanzania.
Washiriki Wakiendelea Kushuka Kwenye gari lao tayari kwa ushiriki katika bonanza
Picha Na Habari Kwa Hisani Ya John Bukuku - Full Shangwe Blogu




No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)