Na Mwandishi wetu
Kijana
mmoja mkazi wa kitongoji cha DDC Mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya,
Mkoani Mbeya Bwana GOODSON MWASYOGE amejikuta yupo katika wakati mgumu
baada ya kuiba simu ya mfanyabiashara eneo hilo baada ya wiki moja simu
hiyo imekuwa ikilia tumboni baada ya kupigwa huchukua kama dakika kumi
na tumbo lake kuvimba.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa Bwana ASIFIWE MWAKALONGE
amethibitisha kwa tukio hilo akiwa sambamba na mjumbe Bwana MOHAMMED
SAID.
Wakati huo huo Kaka wa muhanga wa tukio hili Bwana DANIEL MWASYOGE akiwa
na Mama mzazi Bi CHRISTINA MWAKALONGE amemtaka aliyeibiwa simu
kumsamehe kijana wao kwa kosa alilolifanya naye amekiri kutenda tukio
hilo na anaomba msamaha kuwa abilisi alimpitia tuu hakuwa na tabia ya
wizi na baadhi ra wananchi wa mtaa huo wanashangaa.
Kijana GOODSON ni mmoja wa wafanyakazi wa Machinjioni maarufu kama Butchery Mbalizi.
Hili
jambo ni FAIDA kwani ni fundisho kwa vijana ambao hupendelea tabia ya
kusogeza mali katika jamii na kusababisha Janga la Umasikini kuendelea
kuchukua nafasi.
Na
HASARAyake Mwenye mali yake atachukuliwa/kutafsiriwa ndivyosivyo ndani
ya jamii endelea kufuatilia matandao huu ambapo utakuletea taarifa zaidi
kwa njia ya picha.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)