VITUO VYA MAFUTA MBEYA VYAGOMA KUTOA HUDUMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VITUO VYA MAFUTA MBEYA VYAGOMA KUTOA HUDUMA

Vituo vya mafuta jijini mbeya vimegoma kuuza mafuta aina zote sababu ya kupinga hatua ya  EWURA kupunguza bei ya mafuta kuanzia leo  wakidai ni hasara kwao sababu wenyewe walinunua kwa bel kubwa iweje leo wauze kwa bei ndongo wameomba wapewe angalau siku kadhaa kumalizia mafuta waliyonayo sasa katika vituo vyao
Hiki ni kituo cha  ORYX ambacho kilikua kinaendelea kutoa huduma bila kujua wenzao wamegoma kuuza mafuta 
BP Mbeya mjini
BEI MPYA ZA MAFUTA
Baadhi ya madereva wakigombea mafuta
Picha Na Mbeya Yetu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages