MAONYESHO YA KILIMO NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAFUNGULIWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAONYESHO YA KILIMO NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAFUNGULIWA



Naibu Waziri wa Kilimo chakula na ushirika Mhe Eng Christopher Chiza akikabidhi mkasi mara tu baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa maonnyesho ya kilimo nane nane nyanda za juu kusini mjini Mbeya
 
Naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika akihutubia wananchi waliohudhuria sherehe hizo za ufunguzi wa nane nane jijini mbeya
 
Viongozi wengine wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi


Wanafunzi wa shule mbali mbali nao walikuwepo kwenye ufunguzi huo
 
EXIM BANK nao hawakuwa mbali na wakulima kuwapa tia huduma ya kujiunga na banki hiyo uwajani hapo
 
Moja ya watumishi wa benki kuu ya Tanzania akitoa maelekezo kwa mkulima alietembelea banda la BOT
 
wauzaji wa vifaa vya computer wakiwa tayari kuwahudumia wateja wao
 
TTCL nao hawapo nyuma katika kutoa huduma uwanjani hapo
 
kweli furahia nane nane.Picha Na Mbeya Yetu Blogu


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages