Wanafunzi
wa shule ya Msingi Kana ya jijini Tanga wakivuka barabara mara baada ya
kutoka shule.shule hiyo ipo jirani na barabara ambapo kwa wanafunzi wa
darasa la kwanza ni hatari sana kuvuka.

Wanafunzi wa kana shule ya msingi wakitembea kando ya barabara baada ya kutoka shule nyakati za mchana.Picha Na Haki Elimu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)