UTATA WA WESE JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UTATA WA WESE JIJINI DAR ES SALAAM

Watu wamepanga foleni tokea saa nane mchana na bado hawajapata huduma.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika barabara ya Sinza wakati magari hayo yakiingia kwenye kituo cha mafuta cha GBP.
Jamaa kafanikiwa kupata dumu zote hizo na ndio anajiandaa kuondoka.Picha zote Kwa Hisani Ya Michuzi Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages