Nemanja Vidic Akinyanyua Kombe la Ngao Ya Hisani Juu Baada Ya Kuibuka Kidedea Kwa Kuwatungua Mahasimu wao Manchester City
Nemanja Vidic Akiwania Mpira Na Edin Dzeko katika mechi iliyochezwa leo.
Ashley Young akiwajaribu Kumzuia Mchezaji mwenza wa timu yake ya zamani ya aston Villa James Milner katika pambano la Ngao ya Hisani lililofanyika leo katika uwanja wa Wimbley Uingereza
Jeleon Lescott akishangilia Goli alilofunga kwa kichwa katika mechi ya ngao ya hisani
Edin Dzeko Akipongezwa Na Wachezaji Wenzake Baada ya Kufanya Timu yake kuongoza dakika 45 za kwanza
Chriss Smalling alipoifungia Timu yake Ya Man U Goli la kwanza kwa kuunganisha mpira wa adhabu uliopigwa na Ashley Young.
Manchester United ilishinda Magoli 3 dhidi ya 2 ya Manchester City
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)