Moja Ya Milima Iliyopo Katika Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) ambapo Hali ya hewa ya sasa ni ukame kwa kwenda mbele mpaka miti yote imepoteza majani na kuonekana kuungua na jua kali linalowaka mkoani dodoma katika kipindi hiki.
Miti Ikionyesha Kuungua na Kupoteza Majani Yote Katika Kipindi Hiki Cha Ukame Mkoani Dodoma Kama Picha Inavyoonyesha
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)