Pages

Taswira Mbalimbali Kutoka Bungeni Mjini Dodoma


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni, katika kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu leo Augost 25, 2011. kila siku ya alhamisi ya wiki waziri mkuu huulizwa maswali ya ana kwa ana na wa wabung
Mbunge wa Viti Maalum, Dianna Chilolo akimuuliza swali Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kipindi cha maswali Bungeni Augost 25, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Watoto wa Mbunge wa Viti Maalum, Angellah Kairuki, Ester (kushoto) na Kemilembe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 25, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Kamishina wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, Bw. T. Alexander Aleinikoff, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Augost 25, 2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kibakwe , George Simbachawene kwenye viwanja vya BungeMjini Dodoma Augost 25, 2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara,Dr. Cyril Chami kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 25, 2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watendaji waSerikali za Vijiji na Viongozi wa CCM wa jimbo la Magu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 25, 2011.. Kushoto ni MBunge wao, Dr . Dr Festus Limbu.Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)