Pages

Jeshi la Polisi Laadhimisha Miaka 50 Ya Uhuru

Askari wa Jeshi la Polisi (wakati ukoloni) wakionyesha uniform wakati Ukoloni mbele ya  Rais Jakaya Mrisho kikwete leo mjini Dar es salam wakati wa kuadhimisha miaka 95 ya Jeshi hilo iliyokuwa inakwenda sanjari na maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru. Sherehe hizo zilikwenda sanjari na mahafali ya kufunga mafunzo ya wahitimu wa kozi ya Maofisa na Ukaguzi wa Jeshi la Polisi.
Askari wa Jeshi la Polisi wakipita mbele ya Rais Jakaya Mrisho kikwete leo mjini Dar es salam wakati wa kuadhimisha miaka 95 ya Jeshi hilo iliyokuwa inakwenda sanjari na maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru. Sherehe hizo zilikwenda sanjari na mahafali ya kufunga mafunzo ya wahitimu wa kozi ya Maofisa na Ukaguzi wa Jeshi la Polisi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wageni mbalimbali waliohudhuria maadhimisho ya miaka 95 ya Jeshi la Polisi nchini inayokwenda sanjari na miaka 50 ya Uhuru. Sherehe hizo zilikwenda sanjari na mahafali ya kufunga mafunzo ya wahitimu wa kozi ya Maofisa na Ukaguzi wa Jeshi la Polisi.Picha na Vincent Tiganya-Maelezo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)