Simba walivyotinga Bungeni dodoma jana na ngao yao ya Jamii - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Simba walivyotinga Bungeni dodoma jana na ngao yao ya Jamii


Wachezaji wa Simba SC Bungeni Dodoma leo na Ngao yao ya Jamii waliyoishinda kwa kuifunga Yanga bao 2-0 katika mchezo wa kufungua pazia wa ligi kuu ya Vodacom
Ngao ya Jamii iking'ara mjengoni
Ankal ndani....dah!
Wachezaji na maafisa
Felix Sunzu (kulia) na afisa wa Simba
Kocha wa makipa Iddi Pazi 'Faza' akiwa mjengoni na vijana
Nahodha Juma Kaseja akiwa kashikilia Ngao ya Jamii mjengoni
Simba wakitoka mjengoni wakiwa wamezongwa na mashabiki wao
Picha ya Pamoja na waheshimiwa
Furaha tupu Bungeni Dodoma leo
Waziri wa Ardhia Profesa Anna Tibaijuka na Mbunge wa Tabora ambaye pia ni Mwenyekiti wa Simba Mh Ismail Aden Rage wakipozi na 'watoto'
Taswira zote kwa Hisani ya Issa Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages