KUTOKA NDANI YA MJENGO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KUTOKA NDANI YA MJENGO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto),akijadiliana jambo na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa Bungeni Mjini Dodoma leo. 
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kulia)Mbunge wa Kigamboni Dk Faustine Ndugulile(wa kwanza kulia)na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Mr ii(Wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya wabunge wa kizazi kipya bungeni Dodoma leo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages