Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe, akizungumza na Balozi wa Libya
nchini, Prof. Ahmed El Ash'hab baada ya Balozi huyo kuitwa Wizarani,Dar
es Salaam jana.kufuatia Ubalozi huo kubadilisha Bendera ya nchi hiyo
bila kufuata taratibu.Picha na Tagie Mwakawago-Wizara ya Nchini Za Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)