Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa Lindi. Nyuma yake ni Mkuu wa Mkoa huo Mh. Meck Sadiki.
Kufuatia tatizo sugu la maji lilodumu kwa muda mrefu
katika halmashauri ya manispaa ya Lindi,Rais Kikwete amewaagiza madiwani
wa halmashuri hiyo kukaa kwa pamoja na mamlaka ya maji safi na maji
taka Lindi(LUWASA) ili kuzungumza na kufikia muafaka wa kumaliza tatizo hilo la maji.
Rais Kikwete ametoa agizo hilo katika futari ya pamoja na wakazi wa mkoa wa lindi iliyofanyika nyumbani kwake, na kuitaka halmashauri ya Manispaa Lindi kuikopesha fedha LUWASA shilingi milioni 12 kila mwezi hadi Mwezi Disemba mwaka huu kwa ajili ya kusaidia kupunguza tatizo la maji,na baadaye fedha hizo zitarudishwa na wizara ya Maji. Picha na habari na Abdulaziz Video wa Globu ya Jamii, Lindi.

Habari Kwa Hisani Ya Michuzi Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)