Dk. Shein akihutubia alipokuwa akifunga maonesho ya wakulima ya Nane nane Mkoani Dodoma jana
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein,akipata maelezo alipotembelea Sehemu Mbalimbali katika Maonyesho ya Kilimo ya Nanenane Mkoani Dodoma Jana
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia mkungu wa ndizi aina ya fia kutoka Mbeya, uliokuwa ukioneshwa kwenye viwanja vya maonesho ya wakulima vya Nane nane, Nzuguni, Dodoma jana
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)