Chadema na Operesheni SANGARA Mkoani Mbeya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Chadema na Operesheni SANGARA Mkoani Mbeya

 
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mbeya mjini,John Mwambigija akiwa na nakala ya hotuba ya Waziri wa mambo ya ndani kivuli,Godbless lema,akisoma sehemu ya Hotuba hiyo mbadala ya kambi ya upinzani wakati wakilaani kauli ya Zombe,huku Katibu Mwenezi wa wilaya,Manyerere akimsaidia kushika
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya,wakiwasalimia wananchi wa Kata ya Ruanda juzi, katika mkutano wa 'Operesheni twanga kote kote', unaoendelea kufanywa na chama hicho, mkoani Mbeya, Picha Zote na Mdau Thompson Mpanji

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages