Njia mpya na nzuri ya kutoa maoni katika kipindi cha Jahazi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Njia mpya na nzuri ya kutoa maoni katika kipindi cha Jahazi

Pichani kulia ni Eprahim Kibonde,Wasi wasi Mwambulamba pamoja na Arnod Kayanda.
 
Timu ya Jahazi ya Clouds Fm inayofuraha kuwatangazia wadau wote wa Jahazi njia mpya na nzuri ya kutoa maoni wakati mijadala mbali mbali inapoendelea ndani ya Jahazi la Clouds Fm. Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa kumi jioni hadi saa 1 (4pm-7pm). Kujiunga tuma Neno JAHAZI kwenda 15774 kushiriki na kushiriki Andika JAHAZI acha nafasi harafu andika maoni yako tuma kwenda namba 15774. NB: Huduma hii ni kwa mitandao yote ya simu na hakuna malipo ya aina yeyote ila yatatozwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages