Jengo
la Mahakama ya Rufaa ambalo hivi majuzi Askari wa kutuliza ghasia
walidhibiti maandamano yaliyokuwa yameandaliwa na baadhi ya wafanyakazi
wa jengo hili wakitaka kufikisha ujumbe kuwa Jengo hili halitakiwi
kuuzwa kwa mwekezaji wa Hoteli ya Kempisky ili kubomolewa na kupisha
ujenzi wa maegesho ya magari ya hoteli hiyo.
Lakini
Hii haijatulia kwani jengo hili pia ni moja kati ya majengo
yanayotakiwa kuwa ni moja ya majengo ya Kumbukumbu yaliyoachwa na
mwasisi Hayati baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. "Tufikiri mara
mbili kabla ya maamuzi"





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)