Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dk. Asha Rose Migiro Atua Dodoma Nakuonana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dk. Asha Rose Migiro Atua Dodoma Nakuonana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu,MIzengo Pinda akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi yake Mjini Dodoma Augost 11, 2011
Waziri Mkuu, MIzengo PInda na mkewe Tunu wakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma Augost 11, 2011 baada ya mazungumzo yao.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages