Global
Fusion Music & Arts Inakuletea Maonyesho ya Picha kutoka kwa msanii
Maarufu kutoka Tanzania Mzee Raza pamoja na Mwanae yaliyofanyika
Charlton House Hapa London.
Hi ni sehemu ya Pili katika kipindi chetu cha msanii wa kimataifa mzee Raza kutoka Tanzania wakati alipofanya maonyesho ya picha zake akiungana na mwanae Eddy Raza hapa Uingereza yaliyofanyika katika ukumbi wa Charlton House, London hivi karibuni na kutayarishwa na Global Fusion Music and Arts.
Mgeni Rasmi Alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania Chabaka Kilumanaga.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)