MH.ZITTO KABWE AJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI YA PPF - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MH.ZITTO KABWE AJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI YA PPF


Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe(katikati) akijaza fomu jana ya kiunga na Mfumo wa  kuwekeza Amana wa Mfuko wa Pensheni (PPF) katika kilele cha maonyesho ya wakulima nanenane mjini Dodoma wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha.
 Zitto kabwe akizungumza jambo baada ya kukamilisha kujaza fomu za PPF
Zitto Kabwe akishow love na baadhi ya watumish wa PPF waliokuwa katika banda wakati wa maonesho ya nane nane.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages