Wakazi Wa Dodoma Wakingombania Daladala Kuelekea Kwenye Viwanja Vya Nanenane Vilivyopo Maeneo ya Nzuguni Mkoani Dodoma Leo Mchana
Hapa Ni Kwenye Banda La Kampuni Ya Simu Ya TIGO ndio anapopatikana huyu Ngongoti
Mmoja Wa Kiburudisho katika Banda La Tigo Katika Maonyesho ya Nanenane Mjini Dodoma leo
Mzee Small Wa Ngamba Akiwa Anacheza Mziki Huku Akikaribisha Wananchi utembelea Banda la Ofisi Ya Raisi Menejimenti Ya Utumishi Wa Umma Katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Hivi Sasa katika Viwanja Hivyo Maeneo ya Nzunguni Mjini Dodoma
Mdau Wenu Nikishow Love Na Mzee Small Wa Ngamba Katika Banda La Utumishi Wa Umma Ndani Ya Nanenane Dodoma
Mh Crispian Kutoka Katika Kampuni Ya Green Word Akifafanua Jambo Kuhusu Mashine inayotoa Sumu Mwili wakati Wa Maonyesho Ya Nanenane.
Mh Crispian kutoka Kampuni ya Green World Akiwaelekeza Wakazi Wa Mkoa Wa Dodoma Jinsi Mshine ya Kutolea Sumu Mwilini Inavyofanya Kazi.
Mkazi Wa Dodoma Akiwa Kwenye Mashine Inayotoa Sumu Kama Anavyoonekana Katika Picha
Hii Ndio Mashine Ya Kutolea Sumu Mwilini Kama Inavyoonekana Hapa
Wanafunzi Wa Shule Ya Msingi Chang'ombe Kutoka Dodoma Wakiwa Katika Viwanja Vya Nanenane Mjini Dodoma
Haya Ni Baadhi Ya MAbango Ambayo Yapo Mbele Ya Banda la Wizara Ya Afya
Wakazi Wa Mkoa Wa Dodoma Wakiwa Kwenye Foleni Ya Kusubiri Dawa Katika Banda la Wizara Ya Afya.
Wakazi Wa Dodoma Wakisubiri Kumwona Daktari ili kupata Huduma Ya Mifupa Na Mishipa Ya Fahamu Katika Maonyesho ya Nanenane Mkoani Dodoma Leo
Daktari Akimsikiliza Mmoja Wa Wakazi Wa Dodoma aliyehudhuria Maonyesho hayo ndani ya viwanja Vya Nanenane Vilivyopo Nzunguni Mkoani Dodoma Leo
Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA
Kuvutia tovuti. Keep Blogging!
ReplyDelete