HII NDIO DAWA YA WENYE VITUO VYA MAFUTA NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HII NDIO DAWA YA WENYE VITUO VYA MAFUTA NCHINI

 Hili Ni Gari Ambalo Linatumia Gesi asilia ili kufanya kazi na Kama linavyooneka katika picha.Gari hili lipo katika banda la Wizara ya Nishati na Madini
 Hii Ni sehemu Ya Injini kama inavyoonekana hapa
Huku Ni sehemu ya mitungi ya gesi inapokaa.mara baada ya kuwekwa kwa mfumo wa kutumia gesi asilia.Kwa Kufanya Hivi Kuingia Katika Vituo Vya Mafuta Kwako Ni Mwiko Na Hata Wakigoma au Muathirika na Gari lako litahudhuria barabarani hata kama mafuta yatakuwa hayapatikani tena

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages