Haya sasa Mafuta Kubebwa Kwenye Madumu
Hatimaye Vituo Vya Kuuzia Mafuta Vya Geuka Kuwa Benki Foleni Mtindo Mmoja
Hapa Amekosekana Askari Wa Kulinda Usalama Tu lakini Ni Foleni Kwa Kwenda Mbele...
Hapa Inaonekana Utulivu Sifuri Na hapa ni "Survival for Fittest" Mnyonge Akalale tu maana...
Kibajaji Kikishindiliwa Mafuta....Jamaa Anafikiri Akishindilia Hayataisha Sijui alifikiria nini tena huyu jamaa
Kama Kawaida Yani Hakuna Vurugu Wala Kelele Hapo NI Mstari Mmoja Kwa Kwenda Mbele...
Picha Zote Na Michuzi Jr Wa Jiachie Blogu









No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)