HOYCE TEMU ALIVYOWAKILISHA KATIKA TAMASHA LA PEN & MIC III - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HOYCE TEMU ALIVYOWAKILISHA KATIKA TAMASHA LA PEN & MIC III

Hoyce Temu akiwa katika picha ya pamoja na Meneja Mkuu wa Kampuni ya kuchapisha vitabu ya MKUKI na NYOTA ambayo ndiyo imechapisha kitabu cha Hoyce Temu. Kitabu NAYAKUMBUKA YOTE kiko mitaani tayari na kinapatikana kwa shilingi 5000 kwa nakala lengo likiwa ni kuhamasisha wasichana na wanawake wanaopitia magumu katika maisha.

Aliyekuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akichangia mambo muhimu kuhusu kitabu chake katika tamasha la PEN & MIC lililofanyika katika mgahawa wa Saffron uliopo kwenye jengo la Quality Plaza.
Hoyce Temu akifafanua jambo kutoka katika nakala ya kitabu chake.
 
Kwa Habari Zaidi <<<< BOFYA HAPA >>>>
 
 Habari Kwa Hisani Ya Michuzi Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages