Waziri wa maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige akiwasilisha Bungeni bajeti ya wizara yake leo
Wabunge wakimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii(katikati)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Wiliam Lukuvi akibadilishana mawazo na baadhi ya Wabunge Dodoma leo.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai-Chadema Mhe. Freeman Mbowe akijadili jambo na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Mathias Chikawe
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Mhe. Stephen Wasira akimpongeza Mbunge wa Chadema Mhe.Regia Mtema kwa ujasiri wake wa kuliomba Bunge radhi baada ya kutoa matamshi yaliyoashiria ubaguzi wa rangi.Picha na Prosper Minja-Bunge
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)