Kimwana Mwajabu Juma Awa Top Model Vodacom Miss Tanzania - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kimwana Mwajabu Juma Awa Top Model Vodacom Miss Tanzania

Vodacom Miss Tanzania 2011,Top Model Mwajabu Juma akipozi mbele ya wenzake kwaajili ya picha mara baada ya kutwa kuwa ndiye mshindi wa taji hilo na mrembo wa kwanza kuingia katika Nusu Fainali za Vodacom Miss Tanzania mwaka huu. Shindano hilo lilifanyika juzi usiku na matokeo kutangazwa jana mbele ya waandishi wa habari.
Vodacom Miss Tanzania 2011, Top Model Mwajabu Juma (katikati) akipongezwa na washiriki wenzake wa Miss Tanzania baada ya kutajwa kuwa ndiye mshindi wa taji hilo na mrembo wa kwanza kuingia katika Nusu Fainali za Vodacom Miss Tanzania mwaka huu. Shindano hilo lilifanyika juzi usiku na matokeo kutangazwa jana mbele ya waandishi wa habari
Warembo walioingia tano bora ya shindano la Vodacom Miss Tanzania Top Model, Kutoka kushoto ni Jeniffer Kakolaki, Alexia William, Zerulia Manonko, Cynthia Kimath na Mwajabu Juma wakiwa katika picha ya pamoja .Picha na Mpigapicha wetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages