Wanenguaji wa kike wa bendi ya Extra Bongo wakipozi kwa picha katika moja ya onyesho lao jijini Dar.
Mkaanga Chips wa bendi hiyo, Martine Kibosho, akizicharaza Drams wakati wa onyesho hilo.
Kiongozi wa wanenguaji wa bendi hiyo, Super Nyamwela (mbele) akiwaongoza wenzake kushambulia jukwaa hivi katika moja ya onyesho lao hivi karibuni.
Mpiga Gitaa la Besi wa bendi hiyo, Hosea Bass, akiwa kazini....
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)