![]() |
| Msafara wa maandamano ukizunguka katika kitongoji cha Notting hill. |
![]() |
| Washkaji wakipata menu wakiwa katikamavazi yao ymaalum kwa Carnival hiyo baada ya misele mingi ya kuzunguka katika mitaa. |
![]() |
| Raia wengine walishindwa kujumuika katika maandamnao hayo lakini walibaki katika majumba yao wakishuhudia kupitia madirishani. |
![]() |
| Page Kutoka X Factor aliyekuja kutoa kampani kwa Mish wakati wa show. |
![]() |
| Page kutoka X Factor, akipozi kwa picha na wadau. |
| Wadau wakila pozi na Jestina. |













No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)