ZITTO KABWE: SIJENGWI NA MTU NAJENGWA NA UMMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZITTO KABWE: SIJENGWI NA MTU NAJENGWA NA UMMA



Tanzania Daima Leo habari yao kuu ni 'Kikwete amjenga Zitto'.Nisingeshangaa Kama habari hii ya kizushi ingetoka Jamboleo.Nashangaa habari hii kuandikwa na gazeti linalomilikiwa na Kiongozi Mkuu wa Chama changu.Sijengwi na mtu,NAJENGWA NA UMMA

By
Zitto Kabwe(MB)

*Picha juu ni Rais Kikwete akifurahi  na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, huku akiwa katika vazi la asili ya kabila la Waha wakati wa sherehe za uzinduzi wa barabara Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 6. Tarehe 4.7.2011

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages