Mbunge wa Kawe(Chadema)Mh. Halima Mdee akiuliza swali pamoja na kutoa mchango wake kwenye semina hiyo.
Mwenyekiti
wa kamati ya kudumu ya huduma za jamii Mh. Magreth Sita akitoa
muongozo wa semina kwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kuhusu majukumu ya bohari kuu ya madawa(MSD).
Baadhi
ya watendaji wakuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja na wale
wa Taasisi za wizara hiyo wakisikiliza moja ya mada katika semina hiyo
ya wabunge.Kushoto mstari wa kwanza ni Mganga mkuu wa Serikali Dkt.
Deo Mtasiwa na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bohari kuu ya
dawa(MSD),Joseph Mgaya.
Baadhi
ya Wabunge wakimsikiliza mtoa mada hayupo pichani, katika ukumbi wa
Pius Msekwa mjini Dodoma.Mada zilizowasilishwa ni pamoja na Muundo wa
Bohari ya Dawa(MSD),Miaka 17 ya MSD;ufanisi na changamoto, Mfumo wa
ugavi wa bohari ya dawa pamoja na ile ya miradi msonge.Picha na
Catherine Sungura-MOHSW-Dodoma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)