Waziri wa Fadha, Mustapha Mkulo akitazama Kipeperushi.
Waziri
wa Fedha na Uchumi Mustapha Mkulo akizungumza na Waandishi wa habari
jana mchana wakati alipotembelea Jengo la Wizara ya Fedha, kwenye
maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. Waziri Mkulo alisema kuwa
Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba, yana umuhimu mkubwa kwa
wananchi wote kwani ni hupata fursa pekee ya kujitangaza, na kutangaza
aina mbali mbali za Bidhaa na Huduma. Alitoa wito kwa Watanzania wote
wanaotembela katika Maonesho haya ya Sabasaba kufika Jengo la Wizara ya
Fedha ili waweze kufafanuliwa kuhusu Bajeti ya Serikali, na huduma
muhimu zinazotolewa na Wizara ya Fedha. Picha zote na Victor Makinda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)